NEW ARRIVAL: Google Pixel 7 (Dubai Quality) π₯
MunirDealsHub tumekushushia Google Pixel 7 Plain, simu inayopendwa kwa muonekano wake wa kisasa na uwezo mkubwa wa picha. Huu ni mzigo wa Dubai, umenyooka na upo katika hali bora kabisa (Super Clean).
Sifa Muhimu za Pixel 7:
✅ Storage: 128GB Internal Storage (Nafasi ya kutosha kwa kila kitu).
✅ Kamera: 50MP Dual Camera (Picha angavu na Video za kishindo).
✅ Processor: Google Tensor G2 (Spidi kubwa na akili ya AI).
✅ Kioo: 6.3 inches OLED (Saizi inayoshikika vizuri mkononi).
✅ Network: Inasapot 5G kwa internet yenye kasi.
π° BEI YA PUNGUZO: 480,000/= TZS
π FIKA DUKANI KWETU: Kariakoo, Uhuru Plaza, Ghorofa ya 1, Shop No. 20. (Panda kwa Ngazi Nyekundu utatuona moja kwa moja).
π WASILIANA NASI:
Simu: 0687823148 / 0625269231
WhatsApp:
Bofya hapa kutuma ujumbe sasa

Maoni
Chapisha Maoni