Jinsi ya kufika MunirDealsHub – Uhuru Plaza, Kariakoo (Shop No. 20).


 

Karibu MunirDealsHub – Ofisi zetu na Maelekezo

Tunapenda kuwajulisha wateja wetu wote kuwa sasa tumeboresha huduma zetu ili kukufikia kwa urahisi zaidi. MunirDealsHub tunapatikana katikati ya jiji la Dar es Salaam, Kariakoo.

πŸ“ MAHALI TULIPO: Tunapatikana katika jengo la UHURU PLAZA (Uhuru Tower), lililopo hapo hapo Mataa ya Uhuru na Msimbazi.

πŸͺœ JINSI YA KUINGIA: Ukifika mbele ya jengo, panda NGAZI NYEKUNDU moja kwa moja hadi First Floor (Ghorofa ya kwanza). Utatukuta Shop No. 20.

πŸ“ž MAWASILIANO:

  • Simu: 0625269231

  • WhatsApp: 0687823148

Tunatuma mizigo mikoani kote Tanzania na nchi jirani kwa uaminifu na kasi ya ajabu. Karibuni sana!

Maoni