Samsung Galaxy A16 (128GB Storage) - Bei ni 380,000/= Tu! Mzigo Mpya (New Model


 πŸ”₯ LATEST ARRIVAL: Samsung Galaxy A16 (2024 Edition) πŸ”₯

Unatafuta simu mpya yenye muonekano wa kisasa na inayokaa na chaji muda mrefu? MunirDealsHub tumekuletea Galaxy A16. Hii ni simu imara, yenye kioo kikubwa na uwezo wa kisasa kabisa.

Sifa Muhimu za Galaxy A16:

  • Storage: 128GB Internal Storage (Nafasi ya kutosha picha na apps zako).

  • RAM: Uwezo mkubwa wa kufungua apps bila kukwama.

  • Kioo: Inchi 6.7 Super AMOLED (Picha angavu na rangi halisi).

  • Battery: 5000mAh (Inakaa na chaji siku nzima hata ukitumia internet sana).

  • Kamera: 50MP Triple Camera (Picha safi kwa ajili ya biashara na mitandao).

  • Updates: Inapokea updates za Android kwa muda mrefu zaidi.

πŸ’° BEI: 380,000/= TZS


Jinsi ya Kupata Mzigo Huu:

πŸ“ Ofisi Zetu: Kariakoo, Uhuru Plaza, Ghorofa ya 1, Shop No. 20. 🚢 Maelekezo: Ukifika Uhuru Plaza, tafuta Ngazi Nyekundu, panda mpaka floor ya kwanza utatukuta tayari kukuhudumia.

πŸ“ž Wasiliana Nasi Sasa:

Mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa ndani ya saa 24. Quality is our identity!


MunirDealsHub: Quality is our Identity. Deals you can trust

Maoni