Samsung Galaxy S20+ (Full Box) - Bei ni 580,000/= Tu! Mzigo Safi Kariakoo


 πŸ”₯ PREMIUM DEALS: Samsung Galaxy S20+ Full Box πŸ”₯

MunirDealsHub tumekuletea mnyama Samsung S20 Plus ikiwa ndani ya box lake na vifaa vyake vyote. Hii ni simu kwa ajili ya watu wanaopenda ubora, picha kali, na kioo chenye rangi halisi.

Sifa za Kipekee za S20+:

  • Kioo: 6.7 inches Dynamic AMOLED (Kioo kikubwa na angavu sana).

  • Kamera: Quad Camera (Picha kali za kitalamu hata usiku).

  • Hifadhi: Nafasi kubwa ya Storage na RAM inayokimbiza.

  • Condition: Full Box (Ina chaja na kila kitu chake).

  • Uwezo: Inaingia laini zote, internet yenye kasi ya ajabu.

πŸ’° BEI: 580,000/= TZS (Fixed Price)


Jinsi ya Kuipata (Location & Contact):

πŸ“ Ofisi Zetu: Kariakoo, Uhuru Plaza, Ghorofa ya 1, Shop No. 20. 🚢 Maelekezo: Ukifika Uhuru Plaza, tafuta Ngazi Nyekundu, panda mpaka floor ya kwanza utatukuta tayari kukuhudumia.

πŸ“ž Wasiliana Nasi:

Tunafanya delivery kwa Dar es Salaam na tunatuma mikoani kote kwa uaminifu ndani ya saa 24.


MunirDealsHub: Quality is our Identity. Deals you can trust

Maoni